Ridhiwani Kikwete atoa agizo, February 2023 Kivule wapate hati wote.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi Ridhiwani Kikwete, amemwagiza Kamishina wa Ardhi Dar es Salaam mwezi February 2023 Wizara yake iwe imemaliza kuwapatia hati za Viwanja wakazi wa Kivule Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam. Ridhiwani Kikwete, alitoa agizo hilo kata ya Kivule Wilayani Ilala katika mkutano ulioandaliwa na DIWANI wa Kivule […]

Ridhiwani Kikwete atoa agizo, February 2023 Kivule wapate hati wote.

Leave a comment